Monday, September 27, 2010

Maisha ya Kitanzania inaendelea...

Maisha ya kitanzania hebu icheck hiyo picha na unipe maoni yako


Endelea kufuatilia undani wa maisha ya Mtanzania kupitia picha. Tumezoea kuona misafara mirefu ya viongozi, Majumba ya fahari  na mambo mengine. Jamani usisahau kuwa kuna wengine hata mlo mmoja hawana. Hata mkipata kura jaribuni kuboresha maisha yetu.