Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Hapi Salum akionyesha kitu mbele alipotembelea Hospitali ya Palestina-Sinza jijini Dar es Saaam leo, na kujionea mambo mbalimbali katika hospitali hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Hapi Salum akizungumza na Hapi atinga Hospitali ya Palestina-Sinza leo ili kubaini mambo kadhaa ambayo yamemchukiza katika hospitali hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Hapi Salum akitembelea na kuwajulia hali wagonjwa katika hospitali ya Palestina-Sinza jijini Dar es Salaam.