Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, George Simbachawene akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda nyaraka za jengo la Machinga Complex baada ya kuvunja bodi ya jengo hilo mapema leo, na kutangaza kuwa amelikabidhi jengo hilo kwa Mkuu wa Mkoa leo jijini Dar es Salaam.