Thursday, April 14, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA UNAOJADILI SEKTA BINAFSI KATIKA KULETA MAENDELEO ENDELEVU NCHINI


MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA UNAOJADILI SEKTA BINAFSI KATIKA KULETA MAENDELEO ENDELEVU NCHINI
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa kwanza unaojadili kuhusu kuangalia Biashara na Sekta Binafsi katika kuleta Maendeleo endelevu Nchini kwa ajili ya kufikia malengo 17 ya Maendeleo kwa Jamii. Mkutano huo ulioandaliwa na AFRIKA SUSTAINABLE BUSINESS umefunguliwa Leo April 14,2016 katika Hoteli ya Hyatt jijini Dar es salaam.  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa AFRIKA SUSTAINABLE BUSINESS Bw. Raymond Mubayiwa kabla ya kufungua mkutano wa kwanza unaojadili kuhusu kuangalia Biashara na Sekta Binafsi katika kuleta Maendeleo endelevu Nchini kwa ajili ya kufikia malengo 17 ya Maendeleo kwa Jamii. Mkutano huo umefunguliwa Leo April 14,2016 katika Hoteli ya Hyatt jijini Dar es salaam.  
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na watendaji na washiriki wa Mkutano wa kwanza unaojadili kuhusu kuangalia Biashara na Sekta Binafsi katika kuleta Maendeleo endelevu Nchini kwa ajili ya kufikia malengo 17 ya Maendeleo kwa Jamii baada ya kufungua Mkutano huo Leo April 14,2016 katika Hoteli ya Hyatt jijini Dar es salaam. (Picha na OMR)