Waziri Mkuu Majaliwa na mkewe                  Mary wakimpa pole  Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mkewe                  Salma (kushoto) wakati walipokwenda nyumbani kwao                  jijini  Dar es salaam kuhani msiba wa kaka yake Rais                  Mstaafu Marehemu  Selemani Mrisho Kikwete leo.
         (Picha n ofisi ya Waziri Mkuu).
         
