Keki ikikatwa na Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership kwa kushirikiana na Shamim Khan kulia na Edna Mdoe kutoka Tazania women Interfaith Network.
Shamim Khan (kulia) na Edna Mdoe wakisoma hotuba kutoka Tazania women Interfaith Network.
Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8.