Saturday, December 12, 2015

UZINDUZI WA MELI MPYA YA MV MAPINDUZI II MJINI ZANZIBAR LEO



UZINDUZI WA MELI MPYA YA MV MAPINDUZI II MJINI ZANZIBAR LEO
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee pamoja na Viongozi wengine wakati alipowasili viwanja vya Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar katika uzinduzi wa Meli ya MV-Mapinduzi II uliofanyika leo akiwa mgeni rasmi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi (GAVU) wakati alipowasili viwanja vya Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar katika uzinduzi wa Meli ya MV-Mapinduzi II uliofanyika leo akiwa mgeni rasmi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Kapten Abdalla Juma wakati alipotembelea Vyumba Maalum vya kuondokea Abiria watakao safiri na Meli Mv-Mapinduzi II kabla ya uzinduzi wa Meli hiyo uliofanyika leo katika  Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar sherehe zilizohudhuriwa na Viongozi mbali mbali na Wananchi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia mashine inayotoa tiketi za Abiria wakati alipotembelea na kupata maelezo kutoka kwa Maafisa wa Shirika la Bandari  kabla ya kuizindua  Meli Mv-Mapinduzi II,uzinduzi  uliofanyika leo katika  Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar ambapo sherehe zilizohudhuriwa na Viongozi mbali mbali na Wananchi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa Viongozi wengine alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa  Afisa Uhusiano wa Wizara ya Mawasiliano Miundombinu Nafisa Madai (wa tatu kushoto)kuhusu hatua mbali mbali za ujenzi wa Meli ya MV-Mapinduzi II kabla ya kuizindua rasmi leo katika bandari yaMalindi Mjini Zanzibar
 Picha ya Meli MV-Mapinduzi II ilipokuwa katika hatua za matengenezo Nchini Korea Kusini
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto)akikata utepe kama ishara rasmi ya uzinduzi wa Meli ya MV-Mapinduzi II katika bandari ya Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar akiwepo na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kulia) Nahodha wa Meli hiyo Abubakar Mzee (kulia) na Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mabaharia waMeli ya MV-Mapinduzi II baada ya uzinduzi rasmi uliofanyika leo katika bandari ya Malindi Mjini Zanzibar,pamoja na kuitembelea kukagua sehemu mbali mbali za meli hiyo akiwa na Viongozi mbali mbali
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na wafanyakazi wa Kike katika  Meli ya MV-Mapinduzi II wakati alipokuwa akifanya ukaguzi na kutembelea sehemu mbali mbali za Meli hiyo akiwa na Viongozi mbali mbali aliofuatana nao baada ya uzinduzi rasmi  uliofanyika leo katika bandari ya Malindi Mjini Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakipata maelezo kutoka kwa Nahodha wa Meli ya MV-Mapinduzi II Abubakar Mzee (katikati) wakati walipofika katika chumba maalum cha mitambo ya kuendeshea meli inapokuwa safarini,maelezo hayo yalitolewa katika shamra shamra za sherehe za uzinduzi uliofanyika leo katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar
Katika Meli ya MV-Mapinduzi II kunapatika vifaa mbali mbali vya ukokozi ikiwemo moja ya aina hii ya Boti kama  inavyoonekanwa ikiwa na mashine yake pamoja vifaa vyengine vya kutoa huduma
Miongoni mwa Vifaa vya kuokolea Maafa yoyote yan kuzama kwa meli pindi itakapo tokea jambo kama hilo kwa Meli ya Mv-Mapinduzi II
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Viongozi wengine wakipata maelezo kutoka kwa Nahodha wa Meli ya MV-Mapinduzi II Abubakar Mzee (kushoto) katika chumba cha mawasiliano wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Meli hiyo baada ya uzinduzi rasmi uliofanyika leo katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)   akipata maelezo kutoka kwa Nahodha wa Meli ya MV-Mapinduzi II Abubakar Mzee (kushoto) wakati alipotembelea Chumba cha Abiria Classi ya Kwanza akiwa katika ukaguzi wa sehemu mbali mbali  baada ya uzinduzi rasmi uliofanyika leo katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar

 Miongoni mwa Mashine zinazoendesha Meli ya MV-Mapinduzi II iliyotengenezwa Nchini Korea Kusini zikiwa katika hali nzuri inayoonesha Upya kabisa Tofauti na maneno ya Wapinga maendeleo ya Nchi hii ya Zanzibar,Viongozimbalimbali  na Wananchi walijionea walipotembelea Meli ya Mv-Mapinduzi II baada ya kuzinduliwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo
 Mitambo mbali mbali ya Umeme katika Meli ya Mv-Mapinduzi II ikiwa katika hali ya Kuvutia kabisa kutokana na upya wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alitembelea sehemu hii wakati wa uzinduzi wa Meli hiyo iliofanyika leo
 Baadhi ya Viongozi mbali mbali akiwemo Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kulia) na wengine walipokuwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wananchi katika sherehe za uzinduzi wa Meli ya MV-Mapinduzi II leo katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar
 Wananchi mbali wakiwemo Maafisa mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake  wananchi katika sherehe za uzinduzi wa Meli ya MV-Mapinduzi II leo katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar
 Viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake  wananchi katika sherehe za uzinduzi wa Meli ya MV-Mapinduzi II leo katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake  kwa wananchi katika sherehe za uzinduzi wa Meli ya MV-Mapinduzi II leo katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar,(kulia) Waziri wa Fedha  Omar Yussuf Mzee na Naibu Waziri wa Muindombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi Gavu  (kushoto). 
Picha zote na Ikulu, ZnZ