Tuesday, December 01, 2015

UPANUZI WA BARABARA YA MWENGE MOROCCO UMESHAANZA

UPANUZI WA BARABARA YA MWENGE MOROCCO UMESHAANZA
Mafundi wakiendelea na  Upanuzi wa barabara ya Mwenge Morocco jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Magufuli.