Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck Sadick akipanda kwenye mtambo maalum wa kuchimbia mitalo (Scaveter), wakati wa uzinduzi uliofanyika leo jijini Dar,Mtambo huo umenunuliwa na Manispaa ya Kinondoni kwa thamani zaidi ya Sh. Milioni 600.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni ,Mussa Natty akimshukuru Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck Sadick baada ya kuzindua scaveter iliyonunuliwa na Manispaa hiyo leo katika viwanja vya Manispaa , jijini Dar es Salaam.picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii