Wednesday, August 19, 2015

Wana CCM Wapatao 704 Wakihamia CHADEMA Jimbo Analogombea Nape Ubunge


Wana CCM Wapatao 704 Wakihamia CHADEMA Jimbo Analogombea Nape Ubunge
Aliyekuwa mgombea wa kura za maoni kupitia chama cha mapinduzi jimbo la mtama SELEMANI METHEW amekihama chama hicho na kuondoka na wana CCM wapatao miasaba na 4 na kuhamia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwa kile anachodai hakutendewa haki katika mchakato mzima wa kura za maoni.









 

CHANZO : http://furahiamaishanewz.blogspot.com/