Kocha wa timu ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Ally Lidengi, akitoa maelekezo kwa wachezaji wa mchezo wa kamba wakati wa Maandalizi ya Mashindano ya Shimiwi katika uwanja wa Taifa Muhimbili Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza 15 Septembar 2015 Jijini Morogoro.
Kocha wa timu ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Ally Lidengi, akitoa maelekezo kwa wachezaji hao wakati wa Maandalizi ya Mashindano ya Shimiwi katika uwanja wa Taifa Muhimbili Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza 15 Septembar 2015 Jijini Morogoro.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)