Mwakilishi wa jimbo la Uzini Mohamed Raza Hassanal akichukuwa fomu kwa Katibu Mkuu Wilaya Ali Yusssuf Salimu ya kugombea nafasi ya Uwakilishi kwa Jimbo la Uzini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) huko ya Wilaya ya Kati Dunga aktika Afisi ya Chama hicho.
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mohamed Raza akisaini fomu ya kugombea nafasi ya Uwakilishi mara baada ya kukabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Wilaya hiyo Ali Yussuf Salimu huko Wilayani.Picha na (Miza Othman -Maelezo Zanzibar).