Saturday, June 06, 2015

MRADI WA UJIRANI MWEMA ULIOTOLEWA NA HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA (TANAPA) ,KUPUNGUZA MIMBA ZA UTOTONI SHULE YA SEKONDARI KISHUMUNDU ILIYOPO WILAYA YA MOSHI



MRADI WA UJIRANI MWEMA ULIOTOLEWA NA HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA (TANAPA) ,KUPUNGUZA MIMBA ZA UTOTONI SHULE YA SEKONDARI KISHUMUNDU ILIYOPO WILAYA YA MOSHI
Mkuu wa mkoawa Kilimanjaro Leonidas Gama
akisalimiana na baadhi ya wananchi wakati alipowasili katika shule ya sekondari Kishumundu kwa ajili ya hafla fupi ya makabidhiano jengo la Bweni la wasichana lilojengwa kwa ufadhili wa Hifadhi za Taifa Tanzania ,(TANAPA).
Viongozi mbalimbali walioambatana na Mkuu wa
Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari Kishumundu wakiimba wimbo wa Tanzania wakati wa hafla ya makabidhiano ya jengo la Bweni la wasichana lilojengwa kwa ufadhili wa Hifadhi za Taifa Tanzania TANAPA.
Baadhi ya wananchi waliofika kushuhudia
makabidhiano hayo.
Wafadhili wa shule ya sekondari Kishumundu
iliyopo wilaya ya Moshi wakisalimia mara baada ya kutambulishwa katika
hafla hiyo.
Mhifadhi mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima
Kilimanjaro,Erastus Rufunguro akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya Bweni la wasichana ambalo ujenzi wake umefadhiliwa na
TANAPA.
Meneja Ujirani Mwema wa Hifadhi za Taifa
Tanzania,TANAPA,Ahmed Mbugi akisalimia katika hafla
hiyo.
Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Hifadhi za
Taifa,TANAPA,Ibrahimu Musa akizungumza kuhusu sera ya ujirani mwema
ambayo imekuwa ikifanywa na TANAPA katika kusaidia jamii kwa nyanja
mbalimbali zikiwemo za Elimu,Afya ,Miundombinu
Wanafunzi wa Shule ya sekondari Kishumundu
wakitoa burudani ya nyimbo mbele ya wageni waliofika shuleni hapo kwa
ajili ya makabidhiano ya jengo la Bweni la Wasichana lililojengwa
ufadhili wa TANAPA.
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga
akizungumza
wakati wa hafla hiyo.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama
akizungumza wakati wa makabidhiano ya mradi wa jengo la Bweni la wasichana katika shule ya sekondari Kishumundu,ujenzi uliofadhiliwa na Hifadhi za Taifa,Tanzania ,TANAPA.
Bweni la wasichana katika shule ya sekondari
ya Kishumundu lilojengwa naTANAPA.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama
akizindua rasmi Bweni la wasichana katika shue ya sekondari
Kishumundu.
RC,Gama akikata utepe kufungua jengo la
Bwenila wasichana katia shule ya sekondari Kishumundu wilayani
Moshi.
Sehemu ya ndani ya Bweni la wasichana katika
shule ya sekondari Kishumundu,Jengo lililojengwa kwa ufadhili wa
Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya
Kaskazini.

MESSAGE FROM MS IRINA BOKOVA, DIRECTOR-GENERAL OF UNESCO, ON THE OCCASION OF WORLD ENVIRONMENT DAY

Irina_Bokova
Director-General of UNESCO. Irina Bokova.
Seven Billion Dreams. One Planet. Consume with Care.
We live in a world transforming deeply, rocked by multiple crises, on a planet facing rising pressure.
Environmental change has never been so deeply interconnected with our societies as it is today, in this era that many scientists call the Anthropocene, when human activity is the major force shaping the planetary system. The impact that individual women and men are having on the sustainability of the planet may not always be visible — but consider the impact of seven billion women and men, and it becomes clear that daily choices matter.
Environmental change is not just about carbon – it is, fundamentally, about women and men, it is about how we produce and consume in society. The environment is intertwined with human values and behaviour, directly linked to our livelihoods, urban development and nature conservation as well as migration patterns, affecting also the use of water and land, impacting on species survival.
Sustainability cannot be crafted through technological or economic solutions alone. We need green societies to build green economies. We must act in a holistic manner, across the board, starting with individual women and men.
This year, the international community has an historic opportunity to adopt a new sustainable development agenda and to reach a global agreement on climate change. UNESCO is bringing the full force of its mandate and experience to make both a success. We are promoting education for sustainable development to shape the new values, skills and knowledge that all societies need today. Sustainability will be built on the benches of schools, starting as early as possible. We work also to harness the power of science, technology and innovation to strengthen knowledge, to safeguard biodiversity through Biosphere Reserves, and to strengthen the links between the sciences and policy.
This is one goal of the Scientific Advisory Board, an initiative of the United Nations Secretary General for which UNESCO is the Secretariat, to craft a new unity among all sciences and catalyze new synergies across disciplines, policy lines and borders, including to inform the 21st Session of the Conference of the Parties to the UN Framework Convention on Climate Change (COP21) that will be held in Paris later this year.
There is strong global momentum – we need to act on this promise and make a new one, for development that is sustainable, in harmony with the planet. This responsibility cannot wait — we must act now.