Tuesday, May 12, 2015

KUNDI LA VIJANA MARAFIKI WA LOWASA WAFIKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO.



KUNDI LA VIJANA MARAFIKI WA LOWASA WAFIKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO.
Baadhi ya vijana ambao ni marafiki wa Lowasa
wakiwa katika safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.

Kundi la marafiki wa Lowasa kutoka kana ya
Kaskazini wakiwa katika kituo cha Kibo ,wakiwa katika maandalizi ya
kuanza kwenda kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Sehemu ya juu ya mlima Kilimanjaro ikiwa
imefunikwa kwa theruji.
Kundi la Marafiki wa Lowasa wakiwa katika
kituo cha Stella,kikiwa ni kituo cha mwisho kuelkea kilele cha Uhuru
.
Mandhari mbalimbali zinayoonekana wakati wa
kuupanda Mlima Kilimanjaro.
Safari ya siku tatno kwa ijana hao
ikahitimishwa katika kilele cha Uhuru Peak ,kama wanayoonekana ijana
hao wakiongozwa na mratibu wa marafiki wa Lowasa Kanda ya Kaskazini
,Noel Nnko(mwenye koti la rangi nyekundu kulia)
Safari ya kurudi kiasi ilikuwa tatizo wakati
mwingine baadhi yao walilazimika kupewa msaada kwenye kifaa maalumu cha kushushia wageni waliopata maatizo .
Na Dixon Busagagawa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini