JESHI LA POLISI TANZANIA WATOA TAHADHARI KWA WAENDESHA MAGARI JIJINI DAR ES SALAAM KUTOKANA NA HALI YAMVUA INAVYOENDELEA KUONYESHA
JESHI LA POLISI TANZANIA WATOA TAHADHARI KWA WAENDESHA MAGARI JIJINI DAR ES SALAAM KUTOKANA NA HALI YAMVUA INAVYOENDELEA KUONYESHA Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, limetoa tahadhari kwa watumiaji wa barabara kutoka maofisini mapema kufuatia baadhi ya barabara kujaa maji.