Wednesday, April 08, 2015

WAKULIMA MKOANI RUVUMA WAIOMBA SERIKALI KUHARAKISHA BENK YA WAKULIMA



WAKULIMA MKOANI RUVUMA WAIOMBA SERIKALI KUHARAKISHA BENK YA WAKULIMA
A              user's photo.
Serikali imeombwa kuharakisha uanzishaji wa benki ya wakulima ili kumkomboa kiuchumi hasa mkulima mdogo kwa vile benki hiyo itakuwa ikitoa mikopo nafuu tofauti na benki nyingine zinazomuona mkulima kama mtu asiyekopesheka.
Ombi hilo limetolewa na mshauri wa wakulima mkoa wa Ruvuma Bwana TITO MBILINYI wakati akizungumza na wakulima wa kijiji cha parangu songea vijijini mkoani humo.