Katika hali isiyokuwa ya kawaida waumini wa kanisa katoliki mjini Shinyanga wamejikuta wakipigwa bumbuaji/kushangaa baada ya kufika katika kanisa la Mama mwenye Huruma la Ngokolo mjini Shinyanga kwa ajili ya ksuhiriki Ibada ya Mkesha wa Pasaka,ambapo kila mmoja alilazimika kukaguliwa kama amebeba silaha na kuingia nayo kanisani.Malunde1 blog imeshuhudia waumini wengi wa kanisa hilo wakiwa wanakaguliwa na askari wa jeshi la polisi usiku wa kuamkia leo huku sababu ikitajwa kuwa ni kuimarisha usalama kwa waumini ili washerehekee sikukuu kwa amani zaidi-Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Muonekano wa kanisa Katoliki la Mama mwenye Huruma Ngokolo mjini Shinyanga-Picha kutoka Maktaba ya Malunde1 blog
Waumini wa kanisa katoliki wakiwa nje ya kanisa la Mama Mwenye Huruma wakisubiri kukaguliwa-Kitendo cha kukaguliwa kabla ya kuingia kanisani kinaelezwa kuwa hakijawahi kutokea katika kanisa hilo.
Waumini wakisubiri kukaguliwa katika foleni ya wanawake
Tunasubiri kukaguliwa..... |
Kila mmoja alikaguliwa |
Ukaguzi unaendelea |
Nje ya kanisa,zoezi la ukaguzi linaendelea |