Monday, April 20, 2015

JINSI YA KUANDAA CHATNEY YA BAJIA!



JINSI YA KUANDAA CHATNEY YA BAJIA!

     XDC

Mahitaji


  • nazi 1
  • pilipili mbichi 3
  • ndimu kiasi
  • chumvi kiasi

Kuandaa chatne Hatua kwa Hatua

  1. kuna nazi halafu uisage iwe laini sana
  2. saga pilipili na chumvi kisha changanya vyote pamoja kwenye nazi
  3. kamulia ndimu yako, chatne tayari
chatne yetu yaweza liwa kwa bajia, kachori, na hata kababu .