Asubuhi ya leo Edward lowassa ameungana na Temeke Family
Jogging Club kwenye matembezi ya kulaani na kupinga mauaji ya
ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi. Hatua za kumaliza ukatili
huu zinaanza na kila mmoja wetu kushiriki katika mapambano
haya. ameshiriki matembezi ya kilomita 5 kuanzia Uwanja wa
Taifa hadi TCC Chang'ombe,