MATATIZO YA MAJI KWENYE MAENEO YA ZIWA VICTORIA KUWA HISTORIA
MATATIZO YA MAJI KWENYE MAENEO YA ZIWA VICTORIA KUWA HISTORIA
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Jumanne Maghembe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ujenzi wa mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria kwenda wilaya za Igunga,Nzega Uyui mpaka Tabora.
Mbunge wa Igalula Mhandisi Athumani Mfutakamba, akieleza kufurahishwa kwake na ujenzi wa mradi huo unaotarajiwa kutekelezwa katika kipindi cha miezi 30.