Zaidi ya wahalifu vijana 90 wametoroka kutoka kizuizini
katika jimbo la Uttar Pradesh
katika jimbo la Uttar Pradesh
kaskazini mwa India, polisi walisema.
Wahalifu hao, wote wakiwa chini ya umri wa miaka 18
walitoa vyuma vilivyopo
kwenye dirisha na kufunga mashuka waliounganisha
pamoja ambayo walitumia kushuka nayo.
Walitokea nyuma ya jengo mjini Meerut huku polisi
wakiwa wamelinda kwa mbele.
Wafungwa thelathini na watano wamekamatwa mpaka
sasa, polisi walisema.
Afisa mwanadamizi wa polisi Om Prakash ameliambia
shirika la habari la AFP

kwamba kutoroka huko kumefanywa "kwa utaalamu
mkubwa hata hamna aliyegutuka".
Kitendo hicho cha kutoroka kiligunduliwa baada
ya baadhi ya wafungwa walipokutwa
mkubwa hata hamna aliyegutuka".
Kitendo hicho cha kutoroka kiligunduliwa baada
ya baadhi ya wafungwa walipokutwa
barabarani, wakijaribu kusimamisha magari mapema
Jumatatu asubuhi.
Bw Prakash alisema wale ambao bado wamekimbia
ni pamoja na wafungwa waliotiwa
Jumatatu asubuhi.
Bw Prakash alisema wale ambao bado wamekimbia
ni pamoja na wafungwa waliotiwa
hatiani kwa uhalifu kama vile mauaji, ubakaji, wizi
na ujambazi.
Zaidi ya wahalifu vijana 31,000 wanashikiliwa
kwenye vituo maalum India.
na ujambazi.
Zaidi ya wahalifu vijana 31,000 wanashikiliwa
kwenye vituo maalum India.