Shughuli za kiuchumi leo zimesimama kwa zaidi ya saa tano katika mji wa Tunduma mpakani mwa Tanzania na Zambia wilayani momba baada ya wanafunzi zaidi ya 3000 kutoka shule nne za msingi kuandamana na kufunga barabara zote kuu wakipinga vifo vya wenzao wawili na mmoja aliyejeruhiwa baada ya kugongwa na lori, huku wakiishinikiza serikali kuweka matuta katika eneo la mwaka, barabara kuu ya Tunduma Sumbawanga ili kupunguza kasi ya magari katika eneo hilo lililo jirani na shule zao.
Tuesday, February 17, 2015
wanafunzi zaidi ya 3000 waandamana na kufunga barabara baada ya wanafunzi wenzao kugongwa na lori -Tunduma