Tuesday, February 24, 2015

CHAMA CHA WALEMAVU WA NGOZI (ALBINO) KIMEANZISHA MFUKO ILI KUMSAIDAIA MAMA WA MTOTO YOHANA


CHAMA CHA WALEMAVU WA NGOZI (ALBINO) KIMEANZISHA MFUKO ILI KUMSAIDAIA MAMA WA MTOTO YOHANA
Baada ya habari ya kutisha ya utekaji nyara na mauaji ya ndugu yetu mwenye  ulemavu wa ngozi, Yohana, sisi kama chama cha walemavu wa ngozi tunaomba msaada wako kwa mama yake Ester (30) na ndugu  zake sita, ambapo wawili kati yao nao pia ni walemavu wa ngozi Tabu (3) na Shija (12)


Ester alijeruhiwa vibaya kwa kukatwa na  panga , wakati akijaribu kulinda mtoto wake asichukuliwe na wauaji hao. Mume wake kukamatwa.
Kama chama cha walemavu wa ngozi tumeanzisha fundraisse ili kuweza kumsaidia Ester na tunaomba yeyote mwenye kuguswa na habari hii anaweza kutoa msaada wake kupitia link hapo chini