Mwenyekiti wa chama cha Wananchi CUF. Prof, Ibrahim Lipumba alipokuwa akiwashukuru wananchi wa Buguruni Dar es Salaam leo kwa kupiga kura na kukipa ushindi mkubwa na imani walio ionyesha kwa wagombea wa chama hicho kuwezesha kunyakuwa mita 5 na Chama cha Mapinduzi CCM kunyakuwa mta 1, nakuwaomba wananchi wazidi kuwa na imani na cha hicho.(PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mjumbe wa Chama cha Wananchi CUF na Kiongozi wa Sanaa Mshikamano cha Temeke Shamte Mpendaraha alipokuwa akisoma risala kabla ya mgeni Rasmi kuongea
Wanachana wa chama cha wananchi CUF pamoja na wanachi wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Chama hicho Prof
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF,Prof Ibrahim Lipumba akiwahutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza alipokuwa akiwashukuru wananchi wa Buguruni kwa kukiwzesha chama hicho ushindi katika chaguzi za Serekali za Mita zilizofanyika hivi karibuni nakuzidi kuwaomba wananchi wajitokeze kujiandikisha katika Daftari la wapigakura.
Wanachama wa chama hicho wakiwa katika utulivu mkuwa wakimsikiliza Mwenyekiti wao Pro. Ibrahim Lipumba alipokuwa akiwashukuru wananchi hao eneo la Buguruni Shell Dar es salaa leo .
Mwanacha wa Chama hicho cha CUF, akiwa amevalia kofia ya chama hicho.
Wanachama wa chama hicho wakiwa katika utulivu mkuwa wakimsikiliza Mwenyekiti wao Pro. Ibrahim Lipumba alipokuwa akiwashukuru wananchi hao eneo la Buguruni Shell Dar es salaa leo
Wanachama wakicheza ngoma baada ya kwisha kwa Mkutano
Baadhi ya Wenyeviti wa Chama cha Wananchi CUF ,walio fanikiwa kuchaguliwa katika chaguzi za Serelali za Mita kupitia chama hicho .
Wanachama wa chama hicho wakiwa katika utulivu mkuwa wakimsikiliza Mwenyekiti wao Pro. Ibrahim Lipumba alipokuwa akiwashukuru wananchi hao eneo la Buguruni Shell Dar es salaa leo
( Watoto CUF), ni watoto 200 wanao lelewa na Chama cha Wananchi cuf kwa kufundishwa maadili ua Uongozi na Miiko ya Uongozi na mambo ya Rushwa, ambao wanaoandaliwa hapo baadaye wawe Viongozi bora watakao kitumikia chama hicho na wazazi wanaombwa kupeleka watoto wakapate maadili.
Prof. akiongea na wananchi pamoja na wanachama wa Chama hicho Buguruni Shell jijini Dar es Salaam leo