Naibu waziri Maji Mhe Amos Makalla leo amefanya ziara ya kustukiza mkoa Dar es salaam, ambapo amekamata wezi wa maji 12, amewatimua kazi mameneja wa maji Boko na Kimara na pia ametangaza operasheni kubwa zaidi ya kusaka wezi wa maji jijini Dar es salaam
Naibu waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akiangalia miundombinu ya wizi wa maji Magomeni
Naibu waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akitembelea kitongoji cha Manzese kusaka wezi wa maji
Naibu waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akiangalia matenki yanayoingizwa maji ya wizi manzese
Naibu waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akimsikiliza Mwananchi akielezea jinsi wizi wa maji unavyoendelea Manzese
Naibu waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akiwa katika operesheni ya kusaka wezi wa maji Boko