Friday, January 30, 2015

AMCHINJA MPENZI WAKE MPAKA KUFA KISA WIVU WA MAPENZI



AMCHINJA MPENZI WAKE MPAKA KUFA KISA WIVU WA MAPENZI
Mwili wa Msichana anaedaiwa kuchinjwa na mpenzi wake jana jioni maeneo ya Manzese Friends Corner ukitolewa katika eneo la tukio

Kijana anaetuhumiwa kumchinja mpenzi wake sababu ya wivu wa mapenzi akiwa amepandishwa katika gari la Polisi akipelekwa kituoni huku akitokwa na damu shingoni baada ya kujaribu kujiua kwa kutumia kisu