
Wafanyakazi wa Rwandair wakipozi katika picha ya pamoja na zawadi zao, kushoto ni Lucy Ismail RwandAir country manager, Gladys Buhama na Hamida Hamza Reservation staff na kulia ni Eugene Mugisha Airport Station Manager

RwandAir Tanzania Country Manager, Lucy Ismail akifungua sherehe kwa kukaribisha wageni waalikwa na kutambulisha baadhi ya staff,kulia ni Roshni,Lucy, Mayyada,Gladys na mwisho kushoto ni Naina.

Wadau wakipokea zawadi zao mwisho wa sherehe, kutoka kulia ni Anita kutokea kampuni ya Alphazulu na Abdallah kutoka Auckland Tours

Baadhi ya wadau kutoka Kampuni mbalimbali wakiwemo katika sherehe ya Rwandair iliyofanyika ijumaa 19th Dec, Serena hotel

Wafanyakazi wa Rwandair na wageni waalikwa wakipata chakula cha usiku

Winglink nao hawakuwa mbali walikuwa 1st Runner up ambao waliwakilishwa na Jignesh na Mariana

Rickshaw nao waliwakilishwa na Naina na Tausi

Bonvoyage wakipokea cheti cha hukurani kutoka Rwandair

Alphazulu nao walikuwa miongoni mwa waliopokea cheti cha shukurani wakiwakilishwa na Anitha

JMD travels ndio walio ibuka washindi wa kwanza ambao waliwakilishwa na Saurin