Sunday, December 07, 2014

Lauryn Mnjeja na familia yake washerehekea kupata kipaimara


Lauryn Mnjeja na familia yake washerehekea kupata kipaimara
 Lauryn Mnjeja akiwa na wazazi wake pamoja na wadogo zake.
 Lauryn akiwa na mama yake mzazi Anna Gibson (kulia) na mama yake mkubwa Glory.
 .Lauryn Mnjeja akimlisha keki mdogo wake Nancy Baraka, huku Habiba Mohammed akishuhuhia wakati wa sherehe ya kumpongeza kwa kupata kipaimara kwenye kanisa la KKKT, Kivule Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Sherehe ilifanyika ukumbi wa bwalo B Air Wing Ukonga, Dar es Salaam.
Lauryn Mnjeja akiwapungia wageni mbalimbali waliojitokeza kwenye sherehe ya kumpongeza baada ya kupata kipaimara kwenye Kanisa la KKKT), Kivule, Dar es Salaam.sherehe ya kumpongeza iliyofanyika ukumbi wa Bwalo B, Air Wing.Kushoto ni mpambe wake Habiba Mohammed.