Mkubwa Fela na wanawe wakitoa misaada kwa watoto yatima kituo cha Temeke jijini Dar es salaam leo kama moja ya shughuli za kusherehekea kutimia kwa mwaka mmoja toka Yamoto Band izaliwe
Mchele huo
Mkuu wa kituo akikabidhiwa sehemu ya misaada hiyo na Mkubwa Fela
Mkubwa Feka na wanawe wakipozi na watoto yatima kituo cha Temeke jijini Dar es salaam leo baada ya kuwakabidhi misaada ikiwa kama moja ya shughuli za kusherehekea kutimia kwa mwaka mmoja toka Yamoto Band izaliwe
Misaada
Mkubwa Feka akiweka sawa sehemu ya misaada hiyo
Msaada zaidi
Mkubwa Feka na wanawe wakipozi na watoto yatima kituo cha Temeke jijini Dar es salaam leo baada ya kuwakabidhi misaada ikiwa kama moja ya shughuli za kusherehekea kutimia kwa mwaka mmoja toka Yamoto Band izaliwe
Mkubwa Feka na wanawe wakipozi na watoto yatima kituo cha Temeke jijini Dar es salaam leo
Mkubwa Feka na wanawe wakipozi na watoto yatima kituo cha Temeke jijini Dar es salaam leo baada ya kuwakabidhi misaada ikiwa kama moja ya shughuli za kusherehekea kutimia kwa mwaka mmoja toka Yamoto Band izaliwe
Mkubwa Feka na wanawe wakipozi na mkuu wa kituo cha yatima Temeke jijini Dar es salaam leo baada ya kuwakabidhi misaada ikiwa kama moja ya shughuli za kusherehekea kutimia kwa mwaka mmoja toka Yamoto Band izaliwe
Mkubwa Fela na wanawe wakipokea shukurani kutoka kwa mkuu wa kituo
Mkuu wa kituo akimshukuru Mkubwa Fela na wanae
Mkuu wa kituo akiwashukuru Yamoto Band
Mkubwa Fela kituoni hapo
Vijana wa Yatima Band wakitoa burudani kwa watoto yatima wa Temeke leo
Watoto yatima na majirani wakifurahia burudani