Baadhi ya akina mama wakichagua nguo
Mfanyabiashara katika mtaa wa kongo akipuliza mrija wenye maji ya sabuni ambayo anauza |
mama huyu akitengenezwa nywele baada ya kununua katika mtaa wa kongo |
dogo akivishwa nguo ambaye akijaribishwa kama inatosha |
wafanyabiashara wakiwa kazini |
hii ndio hali ya mtaa wa kongo katika manunuzi ya krismax |
sagulasagula katika mtaa wa kongo |
mmachinga akiwatangazia bei wannunuzi katika mtaa wa kongo leo |
biashara huku jua kali mpaka boksi ndio linakuwa mwamvuli |
wamachinga wakinadi ngua |
wakinunua shanga na vidani |
wakinamama wakichagua nguo kwa ajili ya sikukuu |