Monday, November 24, 2014

Taarifa ya msiba



Taarifa ya msiba
Ndugu Richard Kilimbe anasikitika kutangaza kifo cha Binti yake Doris Richard Kilimbe wa Mwanza kilichotokea tarehe 20/11/2014 na kuzikwa tarehe 23/11/204.Nawashukuru wote walioshiriki msiba huu na Mungu awabriki.