Afisa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Bwn. Suleiman Saleh(kulia) akimwakilisha Balozi Liberata Mulamula kwenye tafrija ya siku ya Uhuru wa nchi ya Oman iliyofanyika Washington, DC siku ya Jumanne Novemba 18, 2014. Mwingine katika picha ni Seif Ameir ambaye ni mfanyakazi kwenye Ubalozi huo.
Toka kushoto ni Bi. Farida Saleh na Bi. Nargis Ameir wakiwa katika picha ya pamoja walipohudhuria sharehe ya uhuru wa nchi ya Oman iliyofanyika siku ya Jumanne Novemba 18, 2014 jijini Washington, DC.
Afisa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Bwn. Suleiman Saleh(kulia) akimwakilisha Balozi Liberata Mulamula kwenye tafrija ya siku ya Uhuru wa nchi ya Oman iliyofanyika Washington, DC siku ya Jumanne Novemba 18, 2014. Wengine katika picha toka kushoto ni Bwn. Seif Ameir akifuatiwa na mama mwenye nyumba wake Bi. Nargis Ameir na Bi. Farida Saleh ambaye ndiye barafu ya moyo wa Afisa Suleiman Saleh.