Monday, November 10, 2014

PICHA:ZIARA YA MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE HAI FREEMAN MBOWE MKOANI TABORA,MAMIA WAJITOKEZA KWENYE MKUTANO WAKE WA HADHARA



PICHA:ZIARA YA MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE HAI FREEMAN MBOWE MKOANI TABORA,MAMIA WAJITOKEZA KWENYE MKUTANO WAKE WA HADHARA
  Mweenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Nzega katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Paking jana.
  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwatambulisha viuongozi wa ngazi ya Kata wa Chama cha Wananchi (CUF), kwenye mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Paking mjini Nzega jana.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiagana na wananchi wa mji wa Nzega baada ya mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Paking jana.