Friday, November 21, 2014

Mh. Nyarandu azungumza na wanahabari kuhusu uvumi wa kuhamishwa kwa jamii ya wamasai katika hifadhi ya ngorongoro

Mh. Nyarandu azungumza na wanahabari kuhusu uvumi wa kuhamishwa kwa jamii ya wamasai katika hifadhi ya ngorongoro
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Lazaro Nyalandu akizungumza na Waandishi wa Habari (hawako pichani) katika Ukumbi wa Habari wa Bunge Mjini Dodoma leo Novemba 21,2014, kuhusu Uvumi ulioanza kuenea kuwa jamii ya wamasai wanaoishi katika hifadhi ya Hifadhi ya Ngorongoro kuwa watahamishwa.