Sunday, November 02, 2014

KIPANDE KIDOGO KILICHOBAKIA KATIKA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA KUKAMILIKA MWEZI HUU


KIPANDE KIDOGO KILICHOBAKIA KATIKA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA KUKAMILIKA MWEZI HUU
Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge wapili kutoka kulia akipewa maelezo kutoka kwa Mhandisi Mkazi Agarton Mwenda kuhusu kazi zinazoendelea kwenye barabara hiyo ya Ndundu-Somanga inayotarajiwa kukamilika mwezi huu wa 11.
Sehemu ya barabara ya Ndundu-Somanga ikiwa imeanza kuwekwa lami kwenye kipande hicho kilichobakia.
Baadhi ya sehemu ya barabara hiyo ikiwa imeweka lami kama inavyoonekana.
Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge akifanya kazi ya kuchanganya cementi na udongo katika baadhi ya maeneo katika kipande hicho cha barabara.
Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge akiendelea na ukaguzi wa kazi za uchanganyaji wa cement na udongo katika kipande hicho kidogo cha barabara.
Kazi za ujenzi wa barabara hiyo ukiendelea kwa kasi kubwa. Picha zote kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Ujenzi.