Msanii wa vichekesho Lucas Mhavile a.k.a Joti akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack.
Msanii wa vichekesho Masanja akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack.
Msanii wa vichekesho mpoki akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack.
Msanii wa Bongo fleva Mwana FA akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack.
Wasanii kutoka Shinyanga stand wakitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack.
Wananchi wakishangilia kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack.
Msanii kutoka Kahama akiwasha sigara kwa miguu,kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack.