Mihangaiko | Hapa na Pale

Hapa na Pale Katika Maisha

Monday, October 20, 2014

UKAGUZI WA BARABARA YA TUNDUMA – SUMBAWANGA


UKAGUZI WA BARABARA YA TUNDUMA – SUMBAWANGA DSC03878Kaimu Meneja wa wakala wa Barabara Mkoa wa Mbeya, Mhandisi Masuka Nkina (wa kwanza kulia mwenye shati jeupe) akitoa maelezo juu ya utendaji kazi wa mizani ya Nkangamo katika barabara ya Tunduma – Laela- Sumbawanga. Utendaji wa mizani hiyo ni kwa kutumia kompyuta ambapo mteja anachapishiwa risiti yake hapo hapo inayoonyesha taarifa zake zote. Kama mzigo utakuwa umezidi pia risiti hiyo itaonyesha faini anayotakiwa kulia.




???????????????????????????????DSC03923Mhandisi Julius Isoka ambaye ni Mhandisi Mshauri wa Barabara ya  Tunduma- Sumbawanga kutoka kampuni ya Nicholous Odweyer akiwaelezea timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ambao wanatembelea barabara hiyo jinsi ambavyo daraja linasukwa kutoka chini mpaka juu.  Barabara hii inajengwa kwa ufadhili wa Watu wa Marekani chini ya Mradi waMilleniam Challenge (MCC)DSC03932Daraja la Kashahanzi moja ya daraja kubwa na linalojengwa kwa umahiri mkubwa katika barabara ya Tunduma  –Sumbawanga.  


PICHA ZOTE NA JOYCE MKINGA



Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Post Older Post Home
Earn free bitcoin

Labels

Accountant Administration Afya Ajali BANK- ADVANS BANK-ACB BANK-ACCESS BANK-ADB BANK-AKIBA BANK-AZANIA BANK-BARCLAYS BANK-BOA BANK-BOT BANK-CBA BANK-DCB BANK-DIAMOND TRUST BANK-EQUITY BANK-EXIM BANK-FNB BANK-I and M BANK-ICB BANK-KCB BANK-NBC BANK-NIC BANK-NMB BANK-POST BANK(TPB) BANK-POSTAL BANK-STANBIC BANK-TADB BANK-TIB BANK-UCHUMI Biomedical Engineer BUNGE Cement Jobs Chukua Hatua Community Relations Officer Coordinator CV Database Administrator Director Driver Elimisha Engineer Engineers Environmental Job Fahari ya Macho FELLOWSHIP PROGRAM Finance Officer Financial Policy Advisor Food Science Fumbo General Manager Gospel Songs Graduation Grants for Disabled Persons Habari Head of Retail Banking HR ICT IKULU Insurance officer Internal Auditor Internship Jumapili Katuni Kikwete Kumbukumbu Lecturer Legal Librarian Magazeti Mahakamani Maisha Makala Manager Maoni Marketing Officer Matajiri MATUKIO KATIKA PICHA Mchumba Mechanical Foreman Methali Michapo Michezo Middle East Jobs Mkapa Mnada Muziki Nafasi za Kazi Namba ya Simu Neno La Leo News Note Nyumba Office Assistant Officer Opportunities Part Time Jobs Phd position Picha Polisi Program Manager Project Engineer Project Manager Quality Assurance Quality Assurance Officer RAIS Receptionist REDET Research Research Specialist - Tanzania Revenue Sales Executive Scholarship Senior Mine Geologist Senior Quantity Surveyor Siasa SIKIKA SIMU ZA MIKONONI Soka la Bongo Story Studies Tangazo. Technician TRAINING UN JOBS US Embassy Utapeli Various Jobs VISA NA MKASA Vyuo Vikuu Wanyama Watoto wadogo Week end Zanzibar

Most Popular

  • ACCOUNTS SUPERVISOR – 1 Post
                                                                            African Barrick Gold is an established gold producer operat...
  • Moyo Mpweke kwa wanaotafuta Wachumba.
    Hello dear, Your Age, race and marital status are not factors in who I write to you. i am 24 years old young girl. I need someone who wil...
  • Nafasi za kazi Tanzania Postal Bank za Kumwaga
    Senior Application, Systems and Operations Support Officer - (One vacancy) Station: Dar es Salaam Objectives: The main objectives are...
  • Nafasi za Kazi Serikalini Nyingi mno
    VACANCIES ANNOUNCEMENT The Public Service Recruitment Secretariat was established in accordance with section No.29 (1) of the Public Service...
  • Job opportunities-British Council and DFID Tanzania- Za Kumwaga
    The British Council and DFID Tanzania are pleased to announce a diverse range of job opportunities in areas ranging from project management,...
  • Nafasi za Kazi TRA Nyingi sana.
    patakazi.net EMPLOYMENT OPPORTUNITIES 1.0.           INTRODUCTION: Tanzania Revenue Authority (TRA) was established under th...
  • KIFO CHA KANUMBA: Siri zaanza kufichuka
    KIFO CHA KANUMBA: Siri zaanza kufichuka •  Vinywaji vilivyokutwa chumbani vyachunguzwa na Waandishi wetu ...
  • Nafasi nyingi za Kazi-NM-AIST
    THE NELSON MANDELA   AFRICAN INSTITUTE OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (NM-AIST) EMPLOYMENT OPPORTUNITIES 1. BACKGROUND The Nelson Mandela African...
  • Soma Namba za Simu na Email Address za Kuwasiliana Jeshi la Polisi Tanzania
    Soma Namba za Simu na Email Address za Kuwasiliana Jeshi la Polisi Tanzania   ...

Search This Blog

Total Pageviews

Popular Posts

  • Rais Kikwete ahudhuria sherehe za miaka 52 Uhuru wa uganda
    Rais Kikwete ahudhuria sherehe za miaka 52 Uhuru wa uganda Rais Yoweri Kaguta Museveni ...
  • SHEREHE ZA UZINDUZI WA STUDIO ZA KITUO KIPYA CHA UTANGAZAJI GHETTO RADIO TANZANIA
    SHEREHE ZA UZINDUZI WA STUDIO ZA KITUO KIPYA CHA UTANGAZAJI GHETTO RADIO TANZANIA       ...
  • JESHI LA POLISI NJOMBE LAWAFUKUZA KAZI ASKARI WAKE WATATU
    JESHI LA POLISI NJOMBE LAWAFUKUZA KAZI ASKARI WAKE WATATU Jeshi la polisi mkoani Njombe limeam...
  • MAJALIWA ATETA NA MBUNGE WA SIMANJIRO
    MAJALIWA ATETA NA MBUNGE WA SIMANJIRO Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Si...
  • Nafasi za kazi Tanzania Postal Bank za Kumwaga
    Senior Application, Systems and Operations Support Officer - (One vacancy) Station: Dar es Salaam Objectives: The main objectives are...
  • Soma Namba za Simu na Email Address za Kuwasiliana Jeshi la Polisi Tanzania
    Soma Namba za Simu na Email Address za Kuwasiliana Jeshi la Polisi Tanzania   ...
  • Job opportunities-British Council and DFID Tanzania- Za Kumwaga
    The British Council and DFID Tanzania are pleased to announce a diverse range of job opportunities in areas ranging from project management,...
  • KIFO CHA KANUMBA: Siri zaanza kufichuka
    KIFO CHA KANUMBA: Siri zaanza kufichuka •  Vinywaji vilivyokutwa chumbani vyachunguzwa na Waandishi wetu ...
  • RC Makonda ahojiwa na Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge
    RC Makonda ahojiwa na Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul ...
  • PRESIDENT KIKWETE AWARDED HONORARY PROFESSORSHIP BY CHINA AGRICULTURAL UNIVERSITY
    PRESIDENT KIKWETE AWARDED HONORARY PROFESSORSHIP BY CHINA AGRICULTURAL UNIVERSITY President D...
AutoSurf Traffic Exchange: Powerful Results with SEO tips | 10KHits - 10KHits provides quality traffic hits to your personal or business websites.
Simple theme. Powered by Blogger.