Thursday, October 16, 2014

TASAF YAFANYA UTAMBUZI WA KAYA MASKINI WILAYANI MASWA MKOANI SIMIYU



TASAF YAFANYA UTAMBUZI WA KAYA MASKINI WILAYANI MASWA MKOANI SIMIYU
 
Mmoja wa maafisa wa TASAF  Hamis kikwape aliyeketi mstari wa mbele akifuatilia kazi ya utambuzi wa kaya maskini katika moja ya walengwa wa mpango huo wilayani Maswa. kazi ya utambuzi wa kaya maskini inaendelea kwa kasi katika maeneo ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.
Pichani ni baadhi ya Watoto wakiwa na furaha tupu baada ya kupata maelezo juu ya mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Maswa.
Baadhi ya walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Maswa wakiwa katika picha ya pamoja na mmoja wa maafisa wa TASAF,Hamis Kikwape (mwenye suti nyeusi aliyeketi).
Walengwa wa mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Maswa wakipewa maelezo ya mpango kabla ya kuorodheshwa .
 Wadodosaji wa taarifa za walengwa wa mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Maswa wakiendelea na kazi hiyo katika moja ya kaya za walengwa wa mpango huo.