Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na WanaCCM wa Jimbo hilo wakati wa Mkutano Mabalozi wa CCM Kata ya Charambe uliofanyika mapema leo asubuhi kwenye Ukumbi wa DarLive,Mbagala jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Mabalozi wa CCM Kata ya Charambe wakimsikiliza kwa Makini Mbunge wao, Mh. Dkt. Faustine Ndugulile (hayupo pichani) wakati akiongea alipokuwa Mgeni rasmi kwenye Mkutano huo uliofanyika mapema leo asubuhi kwenye Ukumbi wa DarLive,Mbagala jijini Dar es Salaam.