Friday, October 03, 2014

SITTA APEWA ZAWADI YA USHINDI



SITTA APEWA ZAWADI YA USHINDI
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakimshangilia Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta mara walipokutana nae nje mara baada ya kumaliza mkutano wao kuhusu maandiko ya kisera na manufaa waliyopata wanawake katika Rasimu ya mwisho ya Katiba inayopendekezwa uliofanyika mjini Dodoma leo 3 Septemba, 2014.Picha zote na Benedict Liwenga, Dodoma