Wednesday, October 15, 2014

MKUTANO WA KAMATI KUU YA CHADEMA LEO




MKUTANO WA KAMATI KUU YA CHADEMA LEO
Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu wakiwa katika kikao cha kamati kuu leo
Mwenyekiti wa Taifa wa chadema Freeman Mbowe akifungua mkutano wa kamati kuu ya chama hicho leo
viongozi wa Taifa wa chadema wakiombea dua mkutano wa kamati kuu uliofanyika leo jijini Ddar es salaam kujadili maswala mbalimbali ya chama hicho pamoja na Taif
Wajumbe wa kamati kuu ya chadema wakiwa katika kikao