Saturday, October 04, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MFANYABIASHARA ALIKO DANGOTE



MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MFANYABIASHARA ALIKO DANGOTE
Mfanyabiashara mwenye ukwasi mkubwa Afrika Aliko Dangote akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuhusu uwekezaji wake katika kiwanda cha simenti mkoani Mtwara. Dangote alisema kazi ya ujenzi inakwenda kama ilivyopangwa na kwamba kiwanda hicho kitakuwa kikubwa kabisa kwa uzalishaji simenti katika ukanda wa Afrika Mashariki. Picha na OMR
Picha ya pamoja baada ya mazungumzo.