Friday, October 10, 2014

KINANA, NAPE WASHIRIKI UCHUMAJI CHAI



KINANA, NAPE WASHIRIKI UCHUMAJI CHAI
Kinana na Nape wakivuna Chai
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakishiriki kuvuna majani ya chai, katika shamba la Uniliver, eneo la Ngwazi, katika wilaya ya Mufundi mkoani Iringa, leo Oktoba 10, 2014. Kinana yupo katika ziara ya mkoa huo, kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya CCM. 9Picha na Bashir Nkoromo).