Mkuu wa maabara ya kuchunguza maradhi mbali mbali Msafiri L.Marijani akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati alipotembelea Maabara katika Hospitali ya Mnazi mmoja leo Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na wafanyakazi wa Kituo cha Damu Salama kiliopo Sebleni Nyumba za Wazee Mjini Zanzibar leo alipofanya ziara fupi kituoni hapo
Afisa Mhamasishaji wa Kituo cha Damu Salama Omar Said Omar (kulia) akitoa mchango wake wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza na wafanyakazi wa kituo hicho alipofanya ziara maalum ya kutembelea kuangalia maendeleo ya utendaji kazi Sebleni Nyumba za Wazee Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifutana na Meneja wa Kituo cha Damu Salama Dk.Mwanaheri Mahmoud Ahmed (kushoto) baada kutembelea chuma maalkum cha kuhifadhi Damu Salama iliyochangiwa na wananchi Mbali mbali huko Sebleni Nyumba za Wazee Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia Damu Salama zilizohifadhiwa katika mashine maalum akiwa na Aaza Humud katika chumba maalum alipotembelea katika Ofisi za Kituo hicho Sebleni Nyumba za Wazee Mjini Zanzibar leo