Tuesday, September 02, 2014

WWF YATOA MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA IDARA ZA HALMASHAURI YA MANSIPAA YA KINONDONI KMC JUU YA KUKABILIANA NA UENEAJI WA HEWA UKAA NA NISHATI JADIDIFU NCHINI

WWF YATOA MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA IDARA ZA HALMASHAURI YA MANSIPAA YA KINONDONI KMC JUU YA KUKABILIANA NA UENEAJI WA HEWA UKAA NA NISHATI JADIDIFU NCHINI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni,Injinia. Mussa Natty (kulia), akifungua semina kwa wafanyakazi wa Halmashauri hiyo Jijini Dar es Salaam kuhusiana na ueneaji wa hewa ukaa na matumizi sahihi ya nishati jadidifu nchini (kushoto), Mratibu wa Shirika Lisilokuwa la Kiserikali WWF.Bw, Asukile Kajuni.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni,Injinia. Mussa Natty akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Halmashauri hiyo mara baada ya kufungua semina. HABARI PICHA. NA PHILEMON SOLOMON