Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morice Oyuke (katikati) akitoa ufafanuzi mbalimbali katika mkutano huo. Kushoto ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Idara ya Uchumi, Stephen Kirama na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika, Oswald Ruboha.
Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morrice Oyuke (wa tatu kushoto), akiwa na wadau wa uchumi katika mkutano huo. Kutoka kushoto ni David Kwimbere kutoka ni Meneja Msaidizi wa Sera na Utafiti kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika, Oswald Ruboha, Mtakwimu kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Royal Lyanga na Mtakwimu Mkuu wa NBS, Philemon Mahimbo.
Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.