KWAKWELI BADO INATUWIA VIGUMU KUAMINI KUWA LEO IMETIMIA MIAKA MINNE 4 TANGU UTUTOKE HAPA DUNIANI MPENDWA WETU JULIUS MSEKWA INGAWA HAUPO NASI TENA KIMWILI, MOYO WAKO WA HEKIMA NA UPENDO UTAENDELEA KUBAKI NASI DAIMA BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE AMEN |