Mgeni Rasmi katika ufungaji wa Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Jowika Kasunga akitoa hotuba yake ya kufunga Mkutano huo uliomalizima leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.Picha zote na Othman Michuzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Alhaj Ramadhan Khijja azungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufunga Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,uliomalizika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akitoa hotuba fupi wakati wa kufunga Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,uliomalizika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mhadhili wa Chuo Kikuu cha Midland cha Mbabane,Swaziland,Dkt. Michael Angelo Mlauzi,akiwasilisha mada yake kwenye Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,uliomalizika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.

Muwakilishi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,Prof. Bakari Lemberiti akiwasilisha Mada iliyohusu umuhimu wa tiba ya Kinywa na Meno katika Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,uliomalizika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.