Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wadau wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) mjini Dodoma Sep12,2014.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa wadau wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) wakimsikiliza Waziri Mkuu, MIzengo Pinda wakati alipozungumza nao mjini Dodoma Sep12,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).