Monday, August 11, 2014

VILABU SABA VYA GOFU KUKUTANA TANZANIA OPEN K-VANT GIN GOLF CO-OPERATE TOURNAMENT 2014

VILABU SABA VYA GOFU KUKUTANA TANZANIA OPEN K-VANT GIN GOLF CO-OPERATE TOURNAMENT 2014
Makamu mwenyekiti wa klabu ya Gofu ya Moshi ,Chris Martin akimuonesha uwanja utakaotumika kwa mashindano hayo Meneja Mauzo wa kampuni ya Megatrade Investment Ltd kanda ya kaskazini ,Edmund Rutaraka. Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.